MOROCCO YAIFUNGA IVORY COAST NA KUTINGA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA


Morocco imefuzu kutinga fainali za kombe la dunia 2018 baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Ivory Coast ambao wameshinda kwa mara ya nne mfululizo kutinga fainali hizo.

Magoli kutoka kwa beki Nabil Dirar na Medhi Benatia katika mchezo uliochezwa Abidjan yaliwahakikishia Morocco kumaliza washindi katika kundi C.

Morocco ilikuwa inahitaji sare tu kumaliza ikiongoza kundi hilo mbele ya Ivory Coast iliyopaswa kushinda ili kukata tiketi ya kwenda Urusi.
MOROCCO YAIFUNGA IVORY COAST NA KUTINGA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA MOROCCO YAIFUNGA IVORY COAST NA KUTINGA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA Reviewed by RICH VOICE on Novemba 13, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...