CRISTIANO RONALDO AJALIWA MTOTO WA NNE

Nyota wa soka Cristiano Ronaldo amesherehekea kupata mtoto wa nne, ikiwa ni saa chache tu kupita tangu kuibuka ka tuhuma za kusaliti mahusiano yake.

Ronaldo, 32, amepandisha picha ya mpenzi wake Georgina Rodriquez, 22, akiwa amemkumbatia binti yake wakiwa na mtoto wake mkubwa wa kiume Cristiano Jr.

Ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram:'Alana Martina ndio amezaliwa muda si mrefu, wote Geo (mama) na Alana (mtoto) wanaendelea vizuri !. Tunafuraha kubwa'.
   Ronaldo akiwa na mpenzi wake pamoja na watoto wake wengine mapacha na kaka yao Cristian Jr
CRISTIANO RONALDO AJALIWA MTOTO WA NNE CRISTIANO RONALDO AJALIWA MTOTO WA NNE Reviewed by RICH VOICE on Novemba 13, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...