MAN UNITED YALALA WAKATI BARCELONA NAYO IKUIAMBULIA SARE TASA TURIN

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kikosi chake kilipaswa kufunga magoli 6 katika kipindi cha kwanza katika mchezo waliofungwa goli 1-0 na Basel.

United walikitawala kipindi cha kwanza katika mchezo huo waliokuwa ugenini huku Marouane Fellaini pamoja na Marcos Rojo mashuti yao yakigonga mwamba.
                 Mchezaji wa Basel Michael Lang akifunga goli pekee katika mchezo huo
Lionel Messi alianzia benchi wakati Barcelona wakitinga hatua ya 16 bora baada ya kutoa sare tasa kwa mara ya pili katika hatua ya makundi.

Sare ya mchezo wa Oktoba dhidi ya Olympiakos ilikuwa ya kwanza kwa Barcelona kushindwa kufunga katika hatua ya makundi na jana pia waliambulia sare Turin.
MAN UNITED YALALA WAKATI BARCELONA NAYO IKUIAMBULIA SARE TASA TURIN MAN UNITED YALALA WAKATI BARCELONA NAYO IKUIAMBULIA SARE TASA TURIN Reviewed by RICH VOICE on Novemba 23, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...