HARRY KANE ACHONGA WAKATI TOTTENHAM IKIZIDI KUTAKATA UEFA

Nyota Harry Kane amesema Tottenham imewadhihirishia wakosoaji wake kuwa ipo imara kwa kumaliza vinara katika kundi gumu la Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Tottenham imepata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Borussia Dortmund jana na kujihakikishia kuongoza kundi hilo huku ikiwa bado imebakiza mchezo mmoja.

Ushindi huo unafuatia ushindi mwingine wa magoli 3-1 dhidi ya mabingwa watetezi Real Madrid mwenzi huu na kujihakikishia kutinga hatua ya 16 bora.
Mpira uliopigwa na Son Heung-Min ukitinga wavuni huku Harry Kane akishangilia
                                     Pierre-Emerick Aubameyang akifunga goli pekee la Borussia Dortmund
HARRY KANE ACHONGA WAKATI TOTTENHAM IKIZIDI KUTAKATA UEFA HARRY KANE ACHONGA WAKATI TOTTENHAM IKIZIDI KUTAKATA UEFA Reviewed by RICH VOICE on Novemba 22, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...