MBUNGE WA SONGEA MJINI, MH. LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Songea Mjini mkoani Ruvuma Mh. Leonidas Gama amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Peramiho mjini Songea. 

Taarifa za awali zinasema Mh. Gama alijisikia vibaya akiwa nyumbani kwake na kukimbizwa hospitali ya Peramiho ambako mauti yalimkuta majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo. Tutaweletea taarifa zaidi hapo baadaye
MBUNGE WA SONGEA MJINI, MH. LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA MBUNGE WA SONGEA MJINI, MH. LEONIDAS GAMA AFARIKI DUNIA Reviewed by RICH VOICE on Novemba 24, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...